Ongezeko la Mshahara kwa watumishi.

Ongezeko la Mshahara kwa watumishi.

yello masai

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
3,662
Reaction score
3,715
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/01/2019 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40% ikiwahusisha pia Watumishi wa Mashirika ya Umma, Serikali Kuu, TAMISEMI na Kuwataka Waajiri Wote wa Sekta Binafsi kuzingatia ongezeko hilo. Mfano, kama mshahara wako ni TZS 1,000,000 basi 40% ya 1,000,000 ni 400,000. Kwa maana hiyo mshahara wako utakuwa TZS 1,400,000. Vivyo hivyo 2,000,000 ~ 2,800,000; 500,000 ~ 700,000 n.k.

Hata hivyo Waalimu, na watumishi wa idara za afya watapatiwa posho isiyopungua sh 150,000 kwa kila mwezi ili kupunguza ukali wa maisha.

Mazungumzo yote yameshakamilika na kinachosubiriwa utaratibu wa kuandaa malipo.

Fupisha habari hii kwa maneno yasiyozidi 25

Hivi bado kuna maswali kama haya shule ya msingi, maana mambo yamebadilika sana, enzi hiyo hayo maswali yalikuwa ni changamoto kwa wengi.

C & P
 
Kama itakuwa kweli basi sawa ila siamini sana..... maana %40 parefu sana.
Ila pia nawasiwasi inaweza kuwa maandalizi ya kurahisisha uchaguzi wa mwaka 2020.
 
Imebidi nirudie kusoma, kumbe ni zoezi la kufupisha habari...
Umeturudisha darasa la tano aisee
Kuna watu Baada ya kusoma hapa wataanza kuwaza jinsi watakavyotesa mtaani kwa mshara mpya
 
Serikali imeongeza mishahara kwa 25% kwa watumishi wote tanzania nzima.
 
Kama itakuwa kweli basi sawa ila siamini sana..... maana %40 parefu sana.
Ila pia nawasiwasi inaweza kuwa maandalizi ya kurahisisha uchaguzi wa mwaka 2020.
Hahahhaa kweli
 
Imebidi nirudie kusoma, kumbe ni zoezi la kufupisha habari...
Umeturudisha darasa la tano aisee
Kuna watu Baada ya kusoma hapa wataanza kuwaza jinsi watakavyotesa mtaani kwa mshara mpya
Kuna watu husoma heading tu na kuanza kuchangia mada [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama itakuwa kweli basi sawa ila siamini sana..... maana %40 parefu sana.
Ila pia nawasiwasi inaweza kuwa maandalizi ya kurahisisha uchaguzi wa mwaka 2020.
Mkuu umeingia chaka.
 
Back
Top Bottom