mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,025
- 1,888
Watu wa kada ipi walioongezewa mishahara mkuu? Mbona sisi bila bila huku kwetu.naam
Boss mbona mshahara bado hujatokaHongera kwa kuongezewa mshahara!
Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya?
HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid.
Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii, tuambie nawe unapatje uhuru wa kiuchumi? Unafanyaje?
Huwa najiuliza ile jembe na mundu inafanya nini pale si iwekwe tu plate ya kuku, uma na kijiko.Ccm ya wakulima na wafanyakazi haipo tena Tanzania?