Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima.
Nashauri serikali iingilie kati hii suala ni gumu mno. Nchi ina maskini wakutupwa sema wanashindwa tu kujipanga barabarani wanasubiri tuwatongoze watuingize kwenye mfumo.
Nashauri serikali iingilie kati hii suala ni gumu mno. Nchi ina maskini wakutupwa sema wanashindwa tu kujipanga barabarani wanasubiri tuwatongoze watuingize kwenye mfumo.