Ongezeko la Ombaomba kwenye mahusiano: We huogopi?

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima.

Nashauri serikali iingilie kati hii suala ni gumu mno. Nchi ina maskini wakutupwa sema wanashindwa tu kujipanga barabarani wanasubiri tuwatongoze watuingize kwenye mfumo.
 
Kulia lia sio tabia za kiume, hutaki kuombwa pesa acha kutongoza.
 
Kuna kadem kamoja huwa nakagonga kanaomba aisee mpaka kero hadi nimeka save ombaomba
 
Ndomana wanawak sahv wanafanyiwa mambo ya ajabu
Kisa hela

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…