OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000.
Katika mwendelezo ule ule kwenye mishahara, serikali imezielekeza taasisi zake zilipe posho kulingana na uwezo wake sio lazima iwe hiyo iliyotajwa kwenye waraka.
Ninayo nyaraka ya TANROAD ikiwaandikia watumishi kusitisha matumizi ya viwango vipya hadi itakavyotaarifiwa vinginevyo.
My Take
1. Rais Samia ajiudhuru kwa kudanganya umma kwa kiwango kisichopimika.
2. Watumishi mmedhalaulika sana. Huu ni wakati wenu kutoa makucha