OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
iko wapi hiyo memo kwenye uzi? acha kuwa mbuni kuficha kichwa kwenye mchangaKijana unakurupuka kwanza kingine internal memo kama iyo ni Siri za ofisi umesikia umefanya kosa sana kubwa mno unaweza toa Siri za ofisi hutakiwa kushare kabisa
Izo taasisi na nyingine nyingi Zina bajet yao ya ndani sijajua kama inapokea ruzuku au laah kwanza wanakuwa na plan ya mwaka katika shughuli zao zote na bajeti Inakuwa ishatengwa kwa mwaka wa fedha
Wao wametumiwa akili kwamba bajeti ipo chini watashindwa kusustain kulipana ivyo wewe unakuja kulalama so unataka pesa ziliwe wameona huruma kiwango kitakuwa kikubwa ili kusuit na current budget we unakuja piga kelele
Aliyetuma ule waraka wa ndani wa Tanroad ni mjinga na akamatwe zile ni Siri za ofis
Umejuaje si umeona ule uzi wenye kimemo kama haiwezekani we unatakajeiko wapi hiyo memo kwenye uzi? acha kuwa mbuni kuficha kichwa kwenye mchanga
Kijana unakurupuka kwanza kingine internal memo kama iyo ni Siri za ofisi umesikia umefanya kosa sana kubwa mno unaweza toa Siri za ofisi hutakiwa kushare kabisa
Izo taasisi na nyingine nyingi Zina bajet yao ya ndani sijajua kama inapokea ruzuku au laah kwanza wanakuwa na plan ya mwaka katika shughuli zao zote na bajeti Inakuwa ishatengwa kwa mwaka wa fedha
Wao wametumiwa akili kwamba bajeti ipo chini watashindwa kusustain kulipana ivyo wewe unakuja kulalama so unataka pesa ziliwe wameona huruma kiwango kitakuwa kikubwa ili kusuit na current budget we unakuja piga kelele
Aliyetuma ule waraka wa ndani wa Tanroad ni mjinga na akamatwe zile ni Siri za ofis
Naona unaruka ruka tu. Kwa hiyo kuongeza posho leo halafu kesho anasema vingine ni kusema ukweli? Umeniuliza natakaje, nataka serikali iache kudanganya, inyooshe maelezo sio kutafuta sifa za kijinga. Bora Jiwe alikuwa anasema kweli haongeziUmejuaje si umeona ule uzi wenye kimemo kama haiwezekani we unatakaje
Yule jamaa marehemu akiwaambia ukweli unakasirika
Posho mkuu wanapeana mikononi hata wakiamua kuiba ishu ni Siri za ndaniMalipo yoyote kwa mtumishi wa umma hayapaswi kuwa siri. Taxpayers wana haki ya kujua. Kwenye nchi zilizoendelea, huo usiri haupo!
Umeelewa point hiyo bajeti ya Tanroad sio Tamisemi ni bajeti yao ya ndani umenielewa wanajua nn kinfanya labda na ruzuku kidogo kama wanapata wao kama wao basi nikuambie taasisi fulani nimeona wamepitisha na safari za ovyo zishaanza kwa vile pesa ya ndani zipo za kutosha yaani wanatumia tunaona unaruka ruka tu. Kwa hiyo kuongeza posho leo halafu kesho anasema vingine ni kusema ukweli? Umeniuliza natakaje, nataka serikali iache kudanganya,inyooshe maelezo sio kutafuta sifa za kijinga. Bora Jiwe alikuwa anasema kweli haongezi
Umasikini wa akili ni hatari sana !Kwanza hiyo ipunguzwe au iondolewe kabisa. Ni ufujaji wa pesa, haina umuhimu wowote
Kama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000.
Katika mwendelezo ule ule kwenye mishahara, serikali imezielekeza taasisi zake zilipe posho kulingana na uwezo wake sio lazima iwe hiyo iliyotajwa kwenye waraka.
Ninayo nyaraka ya TANROAD ikiwaandikia watumishi kusitisha matumizi ya viwango vipya hadi itakavyotaarifiwa vinginevyo.
My Take
1. Rais Samia ajiudhuru kwa kudanganya umma kwa kiwango kisichopimika.
2. Watumishi mmedhalaulika sana. Huu ni wakati wenu kutoa makucha
Tanroad wanatengewa pesa na serikaliKijana unakurupuka kwanza kingine internal memo kama iyo ni Siri za ofisi umesikia umefanya kosa sana kubwa mno unaweza toa Siri za ofisi hutakiwa kushare kabisa
Izo taasisi na nyingine nyingi Zina bajet yao ya ndani sijajua kama inapokea ruzuku au laah kwanza wanakuwa na plan ya mwaka katika shughuli zao zote na bajeti Inakuwa ishatengwa kwa mwaka wa fedha
Wao wametumiwa akili kwamba bajeti ipo chini watashindwa kusustain kulipana ivyo wewe unakuja kulalama so unataka pesa ziliwe wameona huruma kiwango kitakuwa kikubwa ili kusuit na current budget we unakuja piga kelele
Aliyetuma ule waraka wa ndani wa Tanroad ni mjinga na akamatwe zile ni Siri za ofis
Hujajibu hoja ya mleta mada! pia nenda kajifunze nini maana ya neno "siri"na aina za "siri"Kijana unakurupuka kwanza kingine internal memo kama iyo ni Siri za ofisi umesikia umefanya kosa sana kubwa mno unaweza toa Siri za ofisi hutakiwa kushare kabisa
Izo taasisi na nyingine nyingi Zina bajet yao ya ndani sijajua kama inapokea ruzuku au laah kwanza wanakuwa na plan ya mwaka katika shughuli zao zote na bajeti Inakuwa ishatengwa kwa mwaka wa fedha
Wao wametumiwa akili kwamba bajeti ipo chini watashindwa kusustain kulipana ivyo wewe unakuja kulalama so unataka pesa ziliwe wameona huruma kiwango kitakuwa kikubwa ili kusuit na current budget we unakuja piga kelele
Aliyetuma ule waraka wa ndani wa Tanroad ni mjinga na akamatwe zile ni Siri za ofis
Tatizo la wafanyakazi Ni kuwa they are divided. Wale ambao Wana nafasi za kuwapa hela be it kwa kuiba or other lawful means, wao wanaona haviwahusu. Wale wanaotegemea mshahara, hawawezi kupaza sauti maana wataadabishwa! Ndio wafanyakazi walivyoKama mnakumbuka serikali ilitoa waraka wa nyongeza ya posho za safari nje ya ofisi (perdiem) ikiongeza kutoka laki moja mpaka 150,000.