Ongezeko la tahasusi

Ongezeko la tahasusi

Clinton11

Member
Joined
Feb 9, 2024
Posts
26
Reaction score
17
Ndugu zangu leo nina swali kidogo, hivi suala la kuongezeka kwa tahasusi kwa kidato cha tano na cha sita hadi kufikia idadi ya tahasusi zipatazo 65, ni dalili ya elimu kukua???
 
Ni kama wewe ulivyo anza kutumia kiswaswadu na sasa una simu janja
 
Ndugu zangu leo nina swali kidogo, hivi suala la kuongezeka kwa tahasusi kwa kidato cha tano na cha sita hadi kufikia idadi ya tahasusi zipatazo 65, ni dalili ya elimu kukua???
Hapana, ni nyakati kubadilika. Mambo yanabadilika, miaka ya 90 sio sawa na miaka ya 2000. Hivyo laazima uendane na nyakati za sasa. Mfano zamani kulikuwa hakuna mitandao na sasa ipo, zamani kulikuwa hakuna komputa na sasa ipo, zamani kulikuwa na wasomi wachache na ajira nyingi lakini siku hizi ni vice versa n.k, kuongezeka kwa tahasusi ni kutokana na mabadiliko ya maisha kiujumla sio elimu kukua.
 
Back
Top Bottom