Ongezeko la Wadada Wanaonuka Mdomo. Hili ni Janga

Ongezeko la Wadada Wanaonuka Mdomo. Hili ni Janga

Nimwambie ili iweje? Akipita humu ujumbe atauona
Tataizo hili wanalo watu wengi na linakera. Ubaya ni kwamba mtu huwezi kujijua kama unatoa harufu mdomoni. Mara nyingi hii hutokea kutokana na kutokula chochote kwa muda mrefu. Pia aina ya vyakula unavyokula inachangia. Ukikutana na mtu aliyekula kachumbali yenye vitunguu au vyakula vya spices halafu akakaa muda mrefu bila kula ni hatari. Kuondoa tatizo inatakiwa mtu anywe maji kwa wingi na pia usikae muda mrefu bila kula chochote. Kama uko kwenye ratiba ya kutokula basi ni vizuri ukatembea na mouth wash na ukawa unasukutua mara kwa mara.
 
Back
Top Bottom