Ongezeko la Wadada Wanaonuka Mdomo. Hili ni Janga

Ziosheni vizuri.

Mwanamke makwapa meusiii

Chupi zinanuka

Ukimwambia abinuke ananuka mavi tu hasa wanawake wenye matako makubwa lazima ukutane na vidude vyeusi
Hili la kunuka mavi mbuzi akigoma huwa ni wakienda toi hawatumii maji au maana nayo inakera sana
 
Wadada wengi hawanywi maji ya kutosha,hata wakiswaki wanaswaki juu juu tu.
 
Kunuka mdomo ni janga la wengi usiombe mmekaa Ibadan au safarini kwenye basi siti moja omba asiongee na simu hadi angalau mfike sehemu ya kuchimba dawa apate chochote
 
Mkuu msema kweli mpenzi wa Mungu Mimi binafsi nilikuwa na hiyo issue na sikujijua ila nilipata bahati mtu wangu wa karibu aliniambia na tatizo lilikuwa maswala ya kukaa mda mrefu bila kuwa na labla nilikuwa siko makini kidogo kwenye usafi wa kinywa maana kama nilikuwa sili ilibidi niwe na kitu Cha kunisitiri kunywa changu hata zile pipi za mint na kikata harufu mbaya tuu Cha kunywa.kwahiyo ungemwambia mkuu kama atajisikia vibaya atakuwa ni ujinga wake ila naamini mtu ukimwambia vizuri kama Mimi nilivyoambiwa inaeleweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…