Ongezeni kiwango cha ufaulu

KIRIKIOU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
241
Reaction score
57
SERIKALI IACHE KUINGIZA SIASA KATIKA SUALA LA ELIMU. NAISHAURI WIZARA YA ELIMU KUONGEZA KIGEZO CHA UFAULU KWA ANAYETAKA KUSOMEA UALIMU.
UALIMU SIO WITO TENA NI KAZI KAMA KAZI NYINGINE AMBAZO ZINAHITAJI KUWEKEZWA IPASAvYO. KWA KUCHUKUA WALIOFAULU DARAJA LA KWANZA NA PILI, WALIMU WATAPATIKANA, LAKINI HILI PIA LIENDE SAMBAMBA NA KUONGEZWA KWA MASILAHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…