Mzee kaingia pharmacy,
MZEE: Mambo mwanangu, kuna kitu
naomba uonje nitakulipa
MFAMASIA: Kitu gani?....Mzee
akatoa
kichupa na kijiko akaweka majimaji
yaliyomo kwenye kichupa kwenye
kijiko na kumwambia mfamasia
aonje,
mfamasia akatia yale maji mdomoni
na
kuyazungusha zungusha mdomoni
akionja;
MZEE: Nipe jibu, ina utamu wa
sukari au chumvi au pilipili?
MFAMASIA: Kama chumvichumvi
MZEE: Hakuna sukari
MFAMASIA: Sukari hakuna kabisa
MZEE: Loh asante chukua hii alfu
tano
nashukuru sana, dokta alinambia
nipime mkojo wangu kama
ninakisukari, kumbe sina asante
bwana mdogo