Black Label
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 432
- 553
Poa poaMkuu jaribu equity bank nadhan utojuta, kipindi Cha nyuma nilikua naitumia wapo vizuri Sana.
ABSA wako mikoani kweli au dar tu?ABSA bank
Dah nimewacheki wako mikoaniABSA bank
Kama mpaka iringa nadhani wapo kila mahaliABSA wako mikoani kweli au dar tu?
Nimewacheki wako vizuri. Big up mkuu.Kama mpaka iringa nadhani wapo kila mahali
STANDARD CHARTERED. BRANCHES DSM. MWANZA. ARUSHA.Naomba ushauri.
Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?
Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye account!
Kati ya CRDB na Stanbic ipi bora?
Kwanza crdb mpaka hiyo card iwezeshwe kufanya manunuzi online ni shughuli pevu! Utazungushwa hadi ukome!Naomba ushauri.
Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje?
Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye account!
Kati ya CRDB na Stanbic ipi bora?
yes stanbic bank ipo international so ni rahis zaid ku link mamboKwanza crdb mpaka hiyo card iwezeshwe kufanya manunuzi online ni shughuli pevu! Utazungushwa hadi ukome!
Go with Stanbic Bank!