Sekta ya online betting & casinos ni kubwa sana na inazalisha mabilioni ya pesa kila mwaka. Kuna wale wanaocheza na kushinda pesa, lakini fursa kubwa iko kwa wale wanaomiliki au kupromoti kasinon za mtandaoni.
Fursa: Unaweza kutengeneza pesa kwa kufanya affiliate marketing au kuwa casino promoter kwa kutumia mitandao ya kijamii na blogs.