Online credit kupitia micro-finance ni balaa kama yalivyo mabalaa mengine. Wahusika mko wapi?

Online credit kupitia micro-finance ni balaa kama yalivyo mabalaa mengine. Wahusika mko wapi?

Kalaga Baho Nongwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2020
Posts
9,953
Reaction score
23,150
Wazee kalaga baho nimechoka.

Jamaa wehu sana hawa, mtu siku ya rejesho leo meseji ya kwanza tu imeandikwa "Kosa langu mimi kukuamini wewe na kukukopesha sasa nasema utajuta". Hapo leo ndo siku ya kwanza tu ambapo ilitakiwa inikunbushe tu.

Toka nimepokea sms hii mpaka muda huu nishajua kama hapa nimeyakanyaga. Yani hata kujitete sijaanza mkopeshaji kanza kulalamika na tuhuma juu. Asee hawa jamaa wamezidi kuajiri vilaza wakuu, serikali iingilie kati sio kwq customer care hii.

Cc Kalaga baho
 
Hapo interest asilimia ngap mkuu?

Mjibu tu short and clear Ubaya Ubwela
Unaambiwa unategeshewa kopa "50000" ukiclick hii kukopa unapokubali na sms tigopesa hiyoo... umepokea elfu 32 tu. Maana yake umekopa 32 unalipa elf 50 ndan ya siku 7. Jamaa wanatuchukuliaje hawa?
 
Back
Top Bottom