Nahitaji kusoma degree ya kwanza kwa njia ya mtandao ili kujiendeleza uelewa wangu zaidi,naweza kupata wapi chuo nikasoma kwa njia ya online nikiwa naendelea kufanya shughuli zangu za kila siku?msaada tafadhari kwa anayefahamu anisaidie link au jina la chuo.
Asante