SoC04 Online driving license

SoC04 Online driving license

Tanzania Tuitakayo competition threads

FGC

Member
Joined
Oct 13, 2014
Posts
10
Reaction score
22
Story of change yangu ni;

"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa kugenerate control no. Na kufanya malipo.

Hiyo itasaidia mambo makuu 3:

1. Kupunguza foleni maofisini

2. Kurahisisha zoezi la ukaguzi barabarani

3. Kusaidia kutokomeza upotevu wa leseni.

Asanteni🙏
 
Upvote 2
Yas mwishoni anaprinti tu kivyake.
Leseni inatoka tu na kitu kama msimbo fulani (QR code) kuhakiki uhalisi wake.

Kwenda maofisini ibakie kwa madereva wa mara ya kwanza wanaoomba leseni. Waiokwishahakikiwa iwe mtelezo tu kuclickclick shwaa.
kihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa kugenerate control no. Na kufanya malipo
 
Story of change yangu ni;

"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa kugenerate control no. Na kufanya malipo.

Hiyo itasaidia mambo makuu 3:

1. Kupunguza foleni maofisini

2. Kurahisisha zoezi la ukaguzi barabarani

3. Kusaidia kutokomeza upotevu wa leseni.

Asanteni🙏
Hiyo online system wameianza mwezi huu, wao wanaita Taxpayer self-service. Sadly kuna queues kupata approval ya Veco na paperwork ziko pale pale.
 
Back
Top Bottom