Story of change yangu ni;
"Nashauri serikali ifikirie kuwa na utaratibu wa kuwa na online system ambayo Traffic anaweza kuona leseni ya dereva, hata dereva mwenyewe awe anaweza kuona leseni yake katika huo mfumo na hata akihitaji kurenew lesen yake online apate uwezo wa kufanya hvo kwa kugenerate control no. Na kufanya malipo.
Hiyo itasaidia mambo makuu 3:
1. Kupunguza foleni maofisini
2. Kurahisisha zoezi la ukaguzi barabarani
3. Kusaidia kutokomeza upotevu wa leseni.
Asanteniš