Online eduacation

Online eduacation

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Wanajamvi naomba mniambie elimu inayotolewa kwa njia ya mtandao kiwango chake kikoje na ubora wake pia kwa sababu inaonyesha kwa nchi zilizokwisha endelea idadi ya watu wanaosoma kwa njia ya mitandao inazidi kuongezeka.sasa kwa mazingira ya Tanzania inawezekana na unaweza kushindana katika soko la ajira kapitia elimu ya online?
 
cheti huwa hakiandikwi kama umesoma online bali kinaandikwa tu kwamba umegraduate kozi hiyo so kuhusu kwamba ulisoma online au ushindani wa soko la ajira usiwe na wasiwasi tatizo ni kujitahidi tu kusoma na kua mchapakazi hodari yaani uchapaji kazi wako uendane na qualifications zako
 
Huu ni utaratibu mzuri wa kupata elimu huku ukiangalia familia au ukitafuta pesa na kwa kuwa wastani wa umri wa kuishi umepungua inakua vyema sana.Labda issue tu huko kwetu ni umeme na internet ambavyo vinaweza kuwa vikwazo pindi unapokuwa mwafunzi wa online
 
Back
Top Bottom