Wanajamvi naomba mniambie elimu inayotolewa kwa njia ya mtandao kiwango chake kikoje na ubora wake pia kwa sababu inaonyesha kwa nchi zilizokwisha endelea idadi ya watu wanaosoma kwa njia ya mitandao inazidi kuongezeka.sasa kwa mazingira ya Tanzania inawezekana na unaweza kushindana katika soko la ajira kapitia elimu ya online?