Ninahitaji kuelekezwa vyuo vinavyotoa online degree hapa Tanzania. Kama hakuna nahitaji vya nje. Niwekee websites nk.
Ninataka kufanya MBA, Logistics/ International Transport au maeneo mengine kadri ninavyoweza kupata options zaidi.
Nahitaji chuo ambao fees zao si kubwa ambazo mtanzania wa kawaida anaweza kumudu, yaani nilipe online education kama ambavyo ningelipa fees kwa kiwango cha pesa, kinachofanana na kama hiyo ingetolewa na chuo cha Tanzania kinachotoa elimu.
Lakini chuo viwe na vigezo vya elimu bora kama" quality of education,the accreditation of the institution etc.
Naomba msaada wa kuelekezwa vyuo hivyo na pengine unipe uzoefu wako wa kusoma online educationa ukiwa hapa Tanzania.