Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubir wajeWakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
1. Written Interview; swali linajitokeza na ukishalijibu unaclick next linakuja lingine mpaka utakapomaliza yote na utayapata majibu yako hapo hapo umepata ngapi katika idadi ya maswali uliyoulizwa.Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
1. Written Interview; swali linajitokeza na ukishalijibu unaclick next linakuja lingine mpaka utakapomaliza yote na utayapata majibu yako hapo hapo umepata ngapi katika idadi ya maswali uliyoulizwa.
Angalizo; usiclick next kabla hujajibu, usiclick ukifikiria baadae utalirudia hilo swali ndio imetoka hiyo.Mfumo uliosetiwa unakuchukulia kama hilo swali umeshindwa😀. Kuna kuwa na time limit na unaiona pale juu, so speed yako ya kujibu maswali ndio mwokozi wako😉
2. Oral Interview; Screen inajigawanya pande mbili kama vile unavyoona video call ya WhatsApp😊. Panel nzima ya interviewers unaiona nawe wanakuona. Maswali ni yale yale yanayohusu kada yako tu. Nikutakie interview njema mkuu🤝👍
Sawa ila taasisi zingine za serikali zenye mamlaka ya kuajiri wao kama wao wanakupitisha kwenye zote mbili online.UTUMISHI hawana online oral interview
Kama taasis ganiSawa ila taasisi zingine za serikali zenye mamlaka ya kuajiri wao kama wao wanakupitisha kwenye zote mbili online.
Mahakama TanzaniaKama taasis gani
Aisee,kumbe mmerahisishiwa kazi namna hii?1. Written Interview; swali linajitokeza na ukishalijibu unaclick next linakuja lingine mpaka utakapomaliza yote na utayapata majibu yako hapo hapo umepata ngapi katika idadi ya maswali uliyoulizwa.
Angalizo; usiclick next kabla hujajibu, usiclick ukifikiria baadae utalirudia hilo swali ndio imetoka hiyo.Mfumo uliosetiwa unakuchukulia kama hilo swali umeshindwa😀. Kuna kuwa na time limit na unaiona pale juu, so speed yako ya kujibu maswali ndio mwokozi wako😉
2. Oral Interview; Screen inajigawanya pande mbili kama vile unavyoona video call ya WhatsApp😊. Panel nzima ya interviewers unaiona nawe wanakuona. Maswali ni yale yale yanayohusu kada yako tu. Nikutakie interview njema mkuu🤝👍
Sio tumerahisishiwa bali wamerahisishiwa, Mimi nilishapita huko kitambo. Kitu nilichokipenda ni kupata majibu yako hapo hapo instantly ukishamaliza swali la mwisho, kwahiyo unajijua kabisa upo kwenye inayofuatwa au haupo😀😀Aisee,kumbe mmerahisishiwa kazi namna hii?
Kama zoom meeting tu 🤣Wakubwa habari za majukumu samahani kwa walio fanya interview Za utumishi hivi karibuni setting yao inakuaje kwa intervier za online au maswali yao yanakua katika mfumo gani?
Sio tumerahisishiwa bali wamerahisishiwa, Mimi nilishapita huko kitambo. Kitu nilichokipenda ni kupata majibu yako hapo hapo instantly ukishamaliza swali la mwisho, kwahiyo unajijua kabisa upo kwenye inayofuatwa au haupo[emoji3][emoji3]
Multiple choice mkuuJe maswal huwa ni mutiple choice,kueleza au fill in the blanks??