E Edylux Member Joined Mar 30, 2009 Posts 48 Reaction score 9 Apr 21, 2010 #1 Salaams Wanasheria, Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma. Ahsanteni sana, Edylux
Salaams Wanasheria, Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma. Ahsanteni sana, Edylux
consigliori JF-Expert Member Joined Mar 29, 2010 Posts 392 Reaction score 89 Apr 21, 2010 #2 Edylux said: Salaams Wanasheria, Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma. Ahsanteni sana, Edylux Click to expand... Usiona noma mkubwa, hilo ni jambo la kujivunia elimu haina mwisho.
Edylux said: Salaams Wanasheria, Tafadhali, Nisaidieni majina ya vyuo vikuu vya nje vinavyotoa degree za Sheria zinatambulika hapa TZ. Umri wangu (49 yrs) kuketi na darasani ni noma. Ahsanteni sana, Edylux Click to expand... Usiona noma mkubwa, hilo ni jambo la kujivunia elimu haina mwisho.