Top gun maverick
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 2,080
- 2,871
[SUB]Habari wanajukwaa natumaini wote ni wazima wa afya. Poleni na mihangaiko ya shughuli za kujenga taifa.[/SUB]
[SUB]Naenda direct to the topic. Majuzi niliweza kupoteza ATM card yangu ya Bank fulani hivi, ndipo nilipoenda bank nikaambiwa nikachukue loss report. [/SUB]
[SUB]Nikaenda central police station nikaambiwa siku hizi mambo ni online hakuna manual things, nikapewa link ya online ndipo nikafika nyumbani.kujaza hizi kutumia kitambulisho cha utaifa system inasema majina hayafanani na majina ya kitambulisho.nikaenda mpaka NIDA kuhakikisha wakasema majina yapo sahihi.[/SUB]
[SUB]Sasa niko dilemma nimekata zangu tamaa na suala la kupata ATM card mpya natumia mobile transactions. [/SUB]
[SUB]Mwenye uelewa au ushauri wowote wa uzoefu wa haya masuala anisaidie naamini JF imesaidia watu wengi, nami nitakuwa one of them.[/SUB]

[SUB]
[/SUB]