ONLINE masters in business administration-Accounting ana Finance

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari wadau?,natumaini pasaka ilikuwa njema.,pia nachukua fursa hii kupeana pole kwa majanga yanayotukuta watanzania(eee Mungu utusamehe).
Ok nimekuja kuchota hekima na busara kama ilivyo kawaida yangu kufika hapa JF kujifunza na kuchukua mambo muhim.
"mimi ni graduate wa Bachelor degree in Accountancy na nimejikusanya sasa nataka kusoma masters hyo hapo lakin ONLINE". Hivyo naomba kujuzwa yafuatayo:
1. Je online masters ina soko kama ilivyo zile za darasan?,au magumashi?.
2. Je ni chuo gan kizur cha nje au nchini kinatoa masters hyo online
3. Gharama zipoje na ningependa kujua chuo chenye unafuu zaidi?
NB: mi naishi shambani lakin nina access ya internet 24/7 natumai ntamudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…