Pawaga
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 1,349
- 1,011
Habari wadau?,natumaini pasaka ilikuwa njema,. Pia tumuombe Mungu atuepushe na haya majanga yanayotupata kila wakati.
Ok nimekuja kuchota hekima na busara kama ilivyo kawaida yangu kufika hapa JF na kuchukua mambo muhim..
Leo nina tatizo naombeni wadau mnisaidie,. Mimi ni graduate wa Bachelor degree in Accountancy na sasa nimejikusanya nataka kusoma masters hiyo hapo juu lakn ONLINE kwa sababu ya majukum na uwezo wa kifedha hivyo naomba kufahamishwa yafuatayo:
1. Je online masters ina soka kama ilivyo zile za darasan au magumashi tu?.
2. Je ni chuo gan kizur nje au ndan ya tanzania kinatoa masters hyo?
3. Gharama zake zipoje?,ningependa kujua chuo chenye naf8 kuliko vinginevyo.
NB:naishi shambani lakini nina access ya internet 24/7 hvyo naamini ntamudu