ONLINE Masters in business administration-Accounting and Finance!.

Pawaga

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
1,349
Reaction score
1,011
Habari wadau?,natumaini pasaka ilikuwa njema,. Pia tumuombe Mungu atuepushe na haya majanga yanayotupata kila wakati.
Ok nimekuja kuchota hekima na busara kama ilivyo kawaida yangu kufika hapa JF na kuchukua mambo muhim..
Leo nina tatizo naombeni wadau mnisaidie,. Mimi ni graduate wa Bachelor degree in Accountancy na sasa nimejikusanya nataka kusoma masters hiyo hapo juu lakn ONLINE kwa sababu ya majukum na uwezo wa kifedha hivyo naomba kufahamishwa yafuatayo:
1. Je online masters ina soka kama ilivyo zile za darasan au magumashi tu?.
2. Je ni chuo gan kizur nje au ndan ya tanzania kinatoa masters hyo?
3. Gharama zake zipoje?,ningependa kujua chuo chenye naf8 kuliko vinginevyo.
NB:naishi shambani lakini nina access ya internet 24/7 hvyo naamini ntamudu
 
mkuu Liverpool university wanatoa MBA online unaweza kuicheki hiyo nilipata nafasi hapo kuisoma nikaona nisingeweza ni bora kusoma full time nikutokana na majukumu niliyokuwa nayo lakini maana kazini nilikuwa busy sana, tembelea webyao mkuu utapata kila kitu na ukiwauliza tu ni kama umewaambia unakuja kesho kila siku watakuwa wanawasiliana na wewe customer services yao iko juu mno unaweza kufikiri wanakusumbua ila ndio kazi yao, kuhusu fees zinabadilika badilika bei inaendana na subjects ambazo utakuwa umechagua kama ni MBA finance, marketing, or international business au Managerial
 

Asante kiongoz,ngoja nianze na hao!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…