Wandugu heshima zenu,
Nina mpango wa kusoma Masters in Humanitarian Assistance, na inabidi iwe online kwani natamani nisome huku nikiendelea na ajira. Nimejaribu kugoogle na nikafanikiwa kuona hii hapa
HASC - Proyecto Kalú » Master's in International Cooperation and Humanitarian Aid
Je kuna mtu yeyote aliyewahi kufanya hii course anishauri kuhusu quality yake na je degree kutoka kwenye taasisi hii inatambuliwa au itakuwa sawa na degree tunazozisema za baadhi ya waheshimiwa wetu.
Nitashukuru kupata ushauri wenu kabla sijaomba kujisajiri nao.