Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Online matchmaking imeanza kusambaa kwa sababu zifuatazo:-
a) Kuokoa muda wa kumtafuta umtakaye.......
b) kupanua wigo la kukutana na wapenzi watarajiwa.........
c) gharama za zoezi hili zasemekana ni poa kulikoni kusakana mtaani...................
hasara zake ni pamoja na:-
a)watu wenye nia mbaya waweza kukutega, kukunasa na kukudhuru.......................
b) Matarajio na khali halisi zaweza kutofautiana na kusababisha kuvunjika moyo.................................
c) Mafanikio yake bado yapo kwenye maabara......................yaani work in progress..................
Soma hapa kwa ufafanuzi zaidi.................................Online dating computer says yes but are ready?
Ni kweli online dating itasambaa na kuwa ni mfumo mpya wa kutongozana au itakufa kifo cha polepole?