Online Matchmaker

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
219,468
Reaction score
911,184



Online matchmaking imeanza kusambaa kwa sababu zifuatazo:-

a) Kuokoa muda wa kumtafuta umtakaye.......
b) kupanua wigo la kukutana na wapenzi watarajiwa.........
c) gharama za zoezi hili zasemekana ni poa kulikoni kusakana mtaani...................

hasara zake ni pamoja na:-

a)watu wenye nia mbaya waweza kukutega, kukunasa na kukudhuru.......................
b) Matarajio na khali halisi zaweza kutofautiana na kusababisha kuvunjika moyo.................................
c) Mafanikio yake bado yapo kwenye maabara......................yaani work in progress..................

Soma hapa kwa ufafanuzi zaidi.................................Online dating computer says yes but are ready?

Ni kweli online dating itasambaa na kuwa ni mfumo mpya wa kutongozana au itakufa kifo cha polepole?
 
Online dating
Ndo imeanza kuchipua..

Itakufa siku haya ma technology yakifa..
 
sidhani kama kuna umuhimu wa online dating kama mtu uko sawa na unaweza ku-socialize vizuri na jamii iliokuzunguruka.
 
wacha ni test zali ,, thnx ruta
 
Nadhani hii kitu imeanza kitambo sana ila ongezeko la hizi social netwok inazipa nguvu sana.. Nadhani ni vizuri sana coz watu wanakua free kufanya maamuz!
 
hii ndo design mpya ya kupanda mnazi kwa mkono mmoja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…