Online media, acheni hii tabia

Online media, acheni hii tabia

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Kumekuwa na tabia ambayo ni very common haswa kwenye hizi online media sio zote lakini asilimia kubwa ya kuandika kichwa Cha habari ambacho akiendani na content ya hiyo video na imekuwa Kama fashion unaweza kukuta kichwa Cha habari kinasema "Country Boy amtolea kauli chafu Ommy Dimpoz" ukifungua hiyo video uoni hizo kauli chafu iliyoandikwa kwenye kichwa cha habari" Hii kitu inaniboa ile mbaya atakama unatafuta viewers, viewers haitafuti kwa style hiyo.

Kuna baadhi ya online media Kama SNS, Dizzim online, Millard Ayo hawana huo upuuzi na content zao zina watazamaji wengi. Nawasifu sana kwa sababu wanaendesha online tv zao kwa uweledi mkubwa sana. Ebu ifike kipindi media online zingine zijifunze kupitia hizi online.
 
Kumbe nyie ndio mnaowapa hizo viewers eeh??? Hao wapuuzi hata wakiandika habari gani ya maana huwa siwaamini, nawapita tu.
 
Back
Top Bottom