ukabu
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 212
- 68
Afrimec kupitia huduma zake za onlinemedical consultation inakuwezesha kuwasiliana na kuongea na madaktari na kuweza kujibiwa ndani ya muda muafaka kulingana na tatizo husika.
Jinsi ya kuwasiliana na dakitari
kwanza kabisa tembelea tovuti ya mydoctortz.blogspot.com Kisha baada ya hapo utapelekwa moja kwa moja katika mfumo ambao unajieleza na utaweza kueleza tatizo lako kwa kina pia kua option ya kuweza kuattach investigations files mfano Full bloodpicture,urinalysi,LFT,RFT nk ili iweze kumrahisishia dakitari kujua nini tatzio lako.
Jinsi utavyojibiwa
ukishasubmit tatizo lako madakatri wetu bingwa watalipitia na kulijibu kwa mapana kulingana na ulivyojieleza NB:tafadhali usitaje jina lako kinachohitajika ni umri tu na mkoa.
Utajibiwa kupitia namba zetu maalum ndani ya muda mfupi.
Gharama za consultations
Kwa sasa consultaion hizi ni bure kabisa ambapo kipoaumbele ni kwa wanawake ,wajawazito, magonjwa ya watoto,na magonjwa kama Hypertension ,Diabetes nk
Mipango ya hapo baadae frimec inampango wa kuanzisha huduma ya online video calling ambapo mteja wetu ataweza kuongea na madakatr kupitia video conferencing call.