Mkuu hakuna kitu kama bure kupata pesa kama hizo online inahitaji kazi ya nguvu kama ni website yako au blog inabidi iwe na contents za kumwaga na ujue (SEO) Search Engine Optimazation ili uweze kupata traffic and hence monitize
Kama ni kazi za online huwezi kupata hicho kiasi
Kama ni affiliate marketing na Google Adwords inabidi ujue kutengeneza good Google Adword Campaigns na hapo inabidi uwe unanunua Keywords kwa Pay Per Clicks na uombe Mungu conversion ya Clicks into sales ni nzuri unless utapata hasara
Sio kwamba haiwezekani lakini sio pesa za bure unahitaji hard work, time na huwe unaweza kubadilika sababu what works in 2003 haifanyi kazi as well now as before.. Pia inabidi upate Niche market sababu mambo mengi online sasa hivi ni saturated na Big Guns are involved