captain 21
JF-Expert Member
- Mar 27, 2021
- 612
- 1,199
Ipo lakini nakushauri achana na hao matapeli wanaokula kodi zetu bure bureeWakuu mambo vipi? Naomba mwenye kufahamu anisaidie, hivi ile online portal ya TAESA bado iko active? Maana ni muda mrefu sana kila nikiingia kwenye site yao naona inagoma hasa kwenye kufanya registration.
Nenda kwenye website yao, kajisajili then book training watakupangia tarehe ya training, mengine utajulia hukoHabari, samahani naomba ufafanuzi juu ya mchakato mzima wa ajira kwenye mfumo wa TAESA?
matapel sana hawa nakubalian na ww mkuuuIpo lakini nakushauri achana na hao matapeli wanaokula kodi zetu bure buree