Aksante sana Rwegoshora Mutambuzi Kalokola (joke) Huwa nafurai kutamka majina ya kabila lenu
Yaaani BBC Swahili wameshindwa kustream matangazo haya kupitia website yao badala yake wametumia USTREAM. !!!?
ndio hapa unajiuliza ubunifu wa taasisi zetu kama TBC na vituo vingine. wanshindwa kutumia opportnities za ICT zilizopo tena za za bure kufikisha taarifa