Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Mar 23, 2014 #1 Tangu jana kipengele cha kufanya usajili kwa Private Candidates kwenye website ya Www.necta.go.tz hakifunguki, nashindwa kuamini ni kweli kipengele hicho hakifanyi kazi au kuna namna wamebadili, naombeni maelekezo hapo.
Tangu jana kipengele cha kufanya usajili kwa Private Candidates kwenye website ya Www.necta.go.tz hakifunguki, nashindwa kuamini ni kweli kipengele hicho hakifanyi kazi au kuna namna wamebadili, naombeni maelekezo hapo.
Ziltan JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 2,672 Reaction score 6,880 Mar 23, 2014 Thread starter #2 Mssaada jamani,