Z Zedikaya Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 119 Reaction score 14 Feb 14, 2014 #1 Nimejaribu kufanya online registration kama Private Candidate, nikawa nimefikia hatua ya ku-upload Photo nikaona wametoa warning kuwa photo isizidi Kb 30, nifanyeje hali passport size yangu ni MB 2: natanguliza shaukrani
Nimejaribu kufanya online registration kama Private Candidate, nikawa nimefikia hatua ya ku-upload Photo nikaona wametoa warning kuwa photo isizidi Kb 30, nifanyeje hali passport size yangu ni MB 2: natanguliza shaukrani