ONLINE SELFOR: Nimesahau password ya ku-login katika account, nifanyenye nipate password mpya?

ONLINE SELFOR: Nimesahau password ya ku-login katika account, nifanyenye nipate password mpya?

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
1,419
Reaction score
804
Habari za asubuhi ndugu wataalamu. Nilisajili account ktk selform.tamisemi.go.tz ili niweze kubadili tahasusi, bahati mbaya nikashau password niliyoiweka kipindi najisajili.

Msaada wenu tafadhali, nifanyenyeje niweze kupata password mpya itayonuwezesha kuingia ktk account yangu ili niweze kubadili tahasusi?

selform.tamisemi.go.tz
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Pole sana, ila huo ni uzembe sana,
Huu uzembe ulifanywa na mdogo wangu aliyemaliza form four. Alitaka kubadili tahasusi mwenyewe ila hakuna na uzoefu wa maswala ya password.
 
Pole Sana!Kumbe humo Kuna watoto wengi Sana.Mara nyingi Password inakuwa no yako mfano S.540/0005 na Username inakuwa ni hiyo 540 yaan center no.Kama Kuna Changamoto kubwa Wasiliana na Mtaaluma wako au IT wa Shule au yoyote Shuleni kwako anayeshughulika na Selform wao watawasiliana na IT wa wilaya Kama watashindwa huyo wa Wilaya atakubadilishia.
 
Back
Top Bottom