ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
Huu uzembe ulifanywa na mdogo wangu aliyemaliza form four. Alitaka kubadili tahasusi mwenyewe ila hakuna na uzoefu wa maswala ya password.Pole sana, ila huo ni uzembe sana,
Asante. Bila shaka tatizo kama hili lishawakumba na wengine.Ngoja wajuzi waje
Ukianza upya wanahitaji password uliyojaza awali. Hata ufanyeje wanakugomea.Anza Upya mbona simple 2