Online share/hisa za mtandaoni

Online share/hisa za mtandaoni

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
1,344
Reaction score
468
Habari Jamiiforums,

Natamani kujiingiza mzimamzima kwenye hii issue ya share(hisa). Naomba ushauri wenu kwa wajuzi wa mambo me nataka base sana online shares.

Hivi ni website / mtandao upi ni mzuri kwenye hii biashara? Binafsi katika pitapita zangu nimekutana na hawa jamaa WWW.24option.com ila sijaridhika na huduma zao.

Msaada please, kama huna cha kuchangia we pita tuu maana kuuliza so ujinga.
 
Sio mzoefu sana lkn nashauri ucheki orbit securities inaweza kuwa na msaada
 
If you are really interested check with me 0717190409
 
Back
Top Bottom