K katel New Member Joined Apr 20, 2020 Posts 2 Reaction score 0 May 5, 2020 #1 Habri zenu jamani. Naomba mnisaidie kwenye hili swala la kuagiza bidhaa online upande wa aliexpress katika shipping adress kuna vitu kama postal codes/zip code ,etc, halafu utafanyaje shopping ikiwa huna po box , Please naomba mnisaidie
Habri zenu jamani. Naomba mnisaidie kwenye hili swala la kuagiza bidhaa online upande wa aliexpress katika shipping adress kuna vitu kama postal codes/zip code ,etc, halafu utafanyaje shopping ikiwa huna po box , Please naomba mnisaidie
Pzika Member Joined Jun 29, 2019 Posts 19 Reaction score 10 May 5, 2020 #2 Kama hauna po box acha wazi wao watatuma kwa agent wao bongo wewe utatumiwa msg