Jamani naomba msaada wa kujua online traderrs kama Alibaba, Kikuu na zinginezo, je kuna mtu ameshawahi fanya kununua bidhaa yoyote na je ni kweli zinafanya kazi kwa uaminifu maana kuna kitu nimekipenda natamani ninunue lakin naogopa.
Kuna thread nyingi humu zinaongelea hilo swala. Ni vyema kabla haujaanzisha uzi mpya jaribu ku search, unge search tu kikuu au alibaba ungepata thread zinazoongelea hayo maswala kwa undani