Online transaction

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Jamani wana jf polen na majukum ....wazoefu wakununua vi2 online naomba mnisaidie namna yakukamilisha hii process bila yakuibiwa na jins ya kujiunga ktk hii huduma . pia ipo salama au kuna risk sana?NIFANYE NINI ILI NIWEZE KUPATA BIDHAA YANGU NILIONUNUA ONLINE? NA JE NITAJUAJE KAMA KWELI BIDHAA YANGU IMETUMWA KWEL? msaada wana jf
 
Unataka kujiungaje? Mara nyingi Online transactions hazihitai kujiunga. Unaiweza kuifanya kwa njia mbili:
1. kwa kutumia ATM card yako (ATM Card ambayo ina uwezo wa kutransact online kama TemboCard za CRDB, VISA etc)
2. Kwa kwenda benk na kuomba wakusaidie katika transaction yako. (Mfano kama unatak kuagiza magari kutoka Japan, kuna transfer mechanism inaitwa TT(Telegraphic Transfer) ambayo hufanywa ukiwa Benki
USALAMA: Mara nyingi online transactions ni salama ingawa kuna mitandao mingine sio salama. Ni vizuri kwanza ukafanya uchunguzi japo kujiridhisha kwa watu waliofanya transaction kwa kutumia huo mtndao ili angalau uwaamini kwa kiasi.
JINSI YA KUFUATILIA MIZIGO ILIYOTUMWA: Mitandao mingi inakuwa na kitu kinaitwa ONLINE TRACKING SYSTEM ambayo inakuwezesha kujua mzigo wako umefika wapi. Huwa wanaandika kila stage: mfano umenunua gari JP, watakuupdate kuwa gari imepandishwa kenye meli, meli imeanza safari, meli iko kituo fulani, meli itafika DSM tarehe fulani etc.
I hope it helps you.
 
Asante sana kaka kwa msaada wako na kunipanua akili kuhusiana na hii ki2...ila nataka nitumie kadi yangu ya CRDB ...pia ni2mie website gan ili nifanikiwe kufanya hii huduma? Kuchunguza kwangu kote nimefanikiwa kupata hii hapa PAYZA lakn cna uhakika nayo kama iko pouwa au la coz sijampata m2 alie nihakikishia kuwa aliwah kui2mia....kama ipo nyingne naomben niijue wana jf
 
What r u looking to buy? kama ukinunua bidhaa from websites za nje sijui mambo ya shipping yatakuwaje. But kwa experience yangu kadi ya Crdb sio reliable at all kuna some sites crdb kadi haikubaliki kabisa.
Anyway, u only need a good reliable card, iwe inakubalika sehemu ningine preferable iwe visa, MasterCard, discover etc. iwe na address watakayo ship vitu vyako. Above all make sure hiyo site iko ya ukweli. Matapeli wengi nowadays kaka.
 
make sure computer unayotumia ina security ya kutosha..antvirus!!!
 
 
make sure computer unayotumia ina security ya kutosha..antvirus!!! Sijakusoma kaka kwani kuna uhusiano gan kat ya antivirus na online transaction?
 

Ndugu sijajua unataka kununua website kutoka mtandao upi, lakini mi nakushauri ujiunge na kampuni ya PAYPAL. Kwa hawa kidogo utaweza kisalimisha pesa zako. Unachotakiwa kufanya ni kujisajili kupitia tovuti yao ya PAYPAL kisha jaza details zako zote na utaelekezwa. Kisha tembelea tovuti unayotaka kununua kitu, itizame tovuti hiyo ikiwa inakubali malipo kupitia PAYPAL. Kama wanakubali nunua unachotaka. Mostly unapoagizia kitu online watakupa na shipping rates ambazo utawalipa wao pia kisha wao ndo watakutumia mzigo wako.

kwa upande wa usalama, PAYPAL ni wazuri. Kwa mfano umenunua mzigo kisha haukuletewa basi unaweza ukaripoti kwao hawa PAYPAL na wao wakafatilia na wakigundua kweli basi transaction yako itakiwa reversed na kupata hela zako. Na pia kama umeagizia kitu ulichooneshwa kwenye pic kisha ukaletewa chengine pia unaweza ukareport kwa paypal wenyewe na wao wakarekebisha mambo!

NB: paypal ndio watakao kiwa na details zako zote za DEBIT/CREDIT CARD yako, na website unayonunulia vitu hawatozijua hizo details!
 
Kadi za CRDB zipo active. Natumia paypal kupitia Mastercard ya CRDB. knachotakiwa nenda tawi jirani la CRDB kajaze form ya e-card banking wa'unblock kwa ajili ya online transactions. Kuhusu Paypal, wapo safe and reliable, na ili uwe verified user wa paypal, inatakiwa ufungue internet banking service ya CRDB ili upate hzo codes ktk statement watayokutumia uweze kuverify. Na kuhusu shipping, sijajua ni mzigo wa aina gani unataka ununue, ila recomended ni DHL au FEDEX watumie.
 
 
ASANTE SANA KWA MSAADA WAKO MKUBMWA ...NDO MAANA NAIFURAHIA JAMII FORUM...ao upi, lakini mi nakushauri ujiunge na kampuni ya PAYPAL. Kwa hawa kidogo utaweza kisalimisha pesa zako. Unachotakiwa kufanya ni kujisajili kupitia tovuti yao ya PAYPAL kisha jaza details zako zote na utaelekezwa. Kisha tembelea tovuti unayotaka kununua kitu, itizame tovuti hiyo ikiwa inakubali malipo kupitia PAYPAL. Kama wanakubali nunua unachotaka. Mostly unapoagizia kitu online watakupa na shipping rates ambazo utawalipa wao pia kisha wao ndo watakutumia mzigo wako. kwa upande wa usalama, PAYPAL ni wazuri. Kwa mfano umenunua mzigo kisha haukuletewa basi unaweza ukaripoti kwao hawa PAYPAL na wao wakafatilia na wakigundua kweli basi transaction yako itakiwa reversed na kupata hela zako. Na pia kama umeagizia kitu ulichooneshwa kwenye pic kisha ukaletewa chengine pia unaweza ukareport kwa paypal wenyewe na wao wakarekebisha mambo! NB: paypal ndio watakao kiwa na details zako zote za DEBIT/CREDIT CARD yako, na website unayonunulia vitu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…