Online Tv

Jf nikama bahari hata ukiitaji nyangumi utampata humu humu
Wenye hekima zao humu ndio pumziko lao yaan jf ni bahari ya maarifa
 
Kama hajakuelewa hapa hatokuelewa tena. Umedadavua vyema na Kunakotukuka kabisa.

Hata hivyo kwa haraka haraka na Ufafanuzi wako Kuntu huu anatakiwa awe na Milioni 10 au 15.
 
Ushauri mzr tu...hakuna ulazima wa kuanza na yote hayo...atafute tu simu yenye camera nzr kama googpe pixel zile zina hata mic nzr...atafute pc tu yenye graphic kubwa AANZE KAZI...siku akiwa monetized ndo aanze kufikiri kuwekeza intensively...


Naongea hiv maana kazi nyingi za online kaa YouTube, blogs na TV huwa ni unpredictable anaweza invest pesa nyingii na asipate kitu?
Maana kule kunahitaji sana na creativity kubwa...
 
Ishu inayosumbua bro ni content media nyingi naona content zao zinafanana Sana .

Kwahiyo ukija na kitu unique inawezekana ikawa Dili sana
Hakuna Mtanzania ( Journalist ) wa nchi hii anaweza kuja na Kitu kipya ( Content mpya ) kwakuwa Wengi Wao Kiasili siyo Wabunifu na Wanapenda Kuiga na Kusafiri Maarifa ya Wengine waliowatangulia.
 
Watanzania ( Journalists ) Creative kama utakavyo Wewe ni Wachache mno hapa nchini.

Mshaurini ajikite zaidi katika Kilimo!!!
 
ONLINE TV

Wadau NDUKI ampojoter4 Mshana Jr Majukumu ya maisha yananipeleka mbio mno. Nadhani niliahidi kuwa nitatoa mapendekezo ya vifaa na gharama zake.

Hivyo, nimependekeza vifaa hapo chini kwenye picha au PDF file ambayo itapanda haraka hapa. Bajeti ya M. 7 inatosha Kabisa kuwa na professional #OnlineTV ambapo utaweza kufanya shughuli zako za ubunifu kwa Uhuru na quality nzuri ambayo inaweza kukubrand haraka sana.

Mapendekezo yangu yametegemea sana vifaa vya Msingi kiasi kwamba ukibahatika/ukivinunua basi you're ready to go. Na Unaweza kuandaa vipindi mbalimbali kama ilivyo studio za TV station mbalimbali.

Kwenye Camera hapo iyo Canon EOS 70D best camera kwa video recording ambapo unaweza kujirekodi bila hata ya msaada wa mtu yeyote kama unafanya shughuli mwenyewe studioni Kwako kutokana na ina flip display. Pia iko na quality oriented kwenye video. Mambo mengine utayaongeza huko huko ukiwa kazini.

Kikubwa nikuwa mbunifu kwenye content ili kujenga fanbase yako.

NB: Hii ni investment nzuri ambapo hata ukiamua kui upgrade kuwa studio ya mziki inawezekana utaongeza vifaa vichache tu. Hivyo ni kutake risky kisha unakomaa. Tanzania bado ONLINE TV inachukuliwa ni kama mchezo wa kupandisha video clips kwenye WhatsApp huko. But online TV Unaweza KUFANYA kazi na vituo vya habari pia kuuza kazi au vipindi vyako.

Zunguuka madukani na iyo quotation sheet ujue bei halisi. Ukiona bidhaa mojawapo ngumu kupatika basi On-line purchase inakuhusu kuagiza nje.View attachment ONLINE TV VIFAA.pdf
 

Ahsante kiongozi mi niliomba vifaa vya music production unanisaidiaje kaka...?
 
Ahsante kiongozi mi niliomba vifaa vya music production unanisaidiaje kaka...?
Production imegawanyika ipo ya audio na video

Mimi nitaorodhesha ya video kwa uchache
1. Tvs
2.Computer (macbook inashauriwa zaidi) na softwares kama adobe master collection humo ndani kuna software muhimu kama photoshop,premiere,illustrator,lightroom etc etc...software zingine kama cinema 4d na finalcut ni muhimu kua nazo kwa ajili ya video editing
3. Printer za kuprint karatasi na picha zenye resolution kubwa e.g za kukaa juu ya compact disc/cds au dvds
4.tripod
5.camera za picha mnato ( still pictures)
6.camera za picha mjongeo ( video )
7.cranes
8.Boom mic microphones etc
8.Mixer
9.Extension cables zile ndefu
10.Drones
11. Harddrive for backups
12.Speakers
14.Itafaa uwe na online accounts kwa ajili ya kujitangaza na kuweka vipande vya video footage huko mfano instagram facebook ticktock na youtube
 
Namna ya kugenerate ideas nzuri ili kupata contents
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…