Online yoyote inayohitaji mwandishi wa makala

Online yoyote inayohitaji mwandishi wa makala

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
9,140
Reaction score
15,963
Habari za leo waheshimiwa, mimi ni Mwandishi mzuri tu wa makala na haswa za kijamii.

Kwa yoyote mwenye kuhitaji Mwandishi kwa ajili ya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane.

Asante.
 
Tuone draft/rough documents ulizowahi andaa
Hadi nikapekue pekue makabrasha nyumbani, maana nyingi niliandika ktk magazeti.

Kama upo tayari Niambie unataka aina gani ya makala niandike hata kwa ufupi. Nikutumie PM
 
Back
Top Bottom