Only fans of HIP HOP please!!!!

Only fans of HIP HOP please!!!!

TZ boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
629
Reaction score
183
Napenda kuuliza na kupata maana sahihi na utofauti wa maana hizi hapa mbili
1.Emcee
2.Raper
Na ukweli ni upi HIP HOP ina element tano(5) au nane(8)

NAWASILISHA
 
Emcee-Master of ceremonies,ni anayejua mizizi ya Hip hop kama,Rakim,Krs one,Guru,talib kweli=Mc's. Raper si lazima ajue misingi ya Hip hop anaandika nyimbo, anataka beat ya studio na mara nyingi anafanya music apate faida,anaongelea maisha ya anasa etc, ata watu wa Rnb uwa wana rap kama Cris brown, Mcs wanaweza kutengeneza albamu bila beat ya studio! mimi najua nguzo ni tano hizo nane sina uhakika.
 
Tumeshajadili sana hiyo mada, hapa!

Natafuta kiungo utakachoenda kusoma na kupata majibu ya maswali yako!
 
Emcee-Master of ceremonies,ni anayejua mizizi ya Hip hop kama,Rakim,Krs one,Guru,talib kweli=Mc's. Raper si lazima ajue misingi ya Hip hop anaandika nyimbo, anataka beat ya studio na mara nyingi anafanya music apate faida,anaongelea maisha ya anasa etc, ata watu wa Rnb uwa wana rap kama Cris brown, Mcs wanaweza kutengeneza albamu bila beat ya studio! mimi najua nguzo ni tano hizo nane sina uhakika.

Thanks sana kaka nimepata kitu hapa
 
Napenda kuuliza na kupata maana sahihi na utofauti wa maana hizi hapa mbili
1.Emcee
2.Raper
Na ukweli ni upi HIP HOP ina element tano(5) au nane(8)

NAWASILISHA

mc ni fanani aliekulia kwenye mising ya nguzo tano za hiphop yaani graphit.breakdance. Knowledge.mc na nk rapper ni m2 yoyote atakaeweza kurap juu ya chochote ki2
 
na fanani ni member wa HBC
 
ngoja atakuja matola hapa ataelezea vizuri sasa hivi yupo kwenye foleni ya tabata bima siunajua barabara ya kwenda kwetu segerea inatengenezwa kwaio foleni na njia za chocho kibao tu
 
mada imejirudia ni vema ungeendeleza ile iliyopita..
 
Mkuu Naona Kama Mada Zinatofautiana Ile Niliuliza Emcee Anatakiwa awe ana Vigezo Gani ili Aitwe Emcee na hapa nataka kupata utofauti wa Emcee na Raper But thanks kwa mchango wako....
 
kuna fanani na hadhira fanani ni mzungumzaji hadhira ni msikilizaji
 
Hip hop ni utamaduni,na kila utamaduni una nguzo zake(aspect of culture)zipo tano katika hip hop.RAP ni Rhythm And Point,part of hip hop aspect.hivyo mwana hip hop anatakiwa arap kwasababu ndio type of song kwenye utamaduni wao,ni kama ilivyo kwa ras tafari aina ya mziki wao ni raggae pamoja na mambo mengine kama tóols,type of clothes,jinsi ya kuabudu nk.hope itakusaidia kama haita kufaa,kama ntakua nimekosea mtanisahihisha jamani,sikiliza krs 1-hip hop is alive.
 
Thanks kwa mchango wako
 
Sio Rhythm and Point ni Rhythm and Poetry. Pia sio Hip Hop is alive lakini ni Hip Hop Lives. Kuna mengi umekosea lakini kwa sasa tunaanzia hapo.........
 
eeh twendelee mkuu long time kweli upo? tupe knowledge
 
Emcee-Master of ceremonies,ni anayejua mizizi ya Hip hop kama,Rakim,Krs one,Guru,talib kweli=Mc's. Raper si lazima ajue misingi ya Hip hop anaandika nyimbo, anataka beat ya studio na mara nyingi anafanya music apate faida,anaongelea maisha ya anasa etc, ata watu wa Rnb uwa wana rap kama Cris brown, Mcs wanaweza kutengeneza albamu bila beat ya studio! mimi najua nguzo ni tano hizo nane sina uhakika.

je mtu ili afanye hiphop ni lazima afokefoke, au ata mtu anayeimba nyimbo kikawaida anaweza akasema anafanya hiphop?
 
Hip hop siyo kurap peka yake hicho ni kipengele kimojawapo,Hip hop ni utamaduni unajumuisha mpaka mavazi n.k kwa hiyo mtu anayejua utamaduni huo, ndio siyo lazima afokefoke ata taratibu anatambaa na beat au ata bila beat,ata ukipiga ndoo ya plastiki ye anaghani tu,tafuta nyimbo za,, Arested Development, usikilize ila ni kundi la zamani kidogo!
 
Back
Top Bottom