Emcee-Master of ceremonies,ni anayejua mizizi ya Hip hop kama,Rakim,Krs one,Guru,talib kweli=Mc's. Raper si lazima ajue misingi ya Hip hop anaandika nyimbo, anataka beat ya studio na mara nyingi anafanya music apate faida,anaongelea maisha ya anasa etc, ata watu wa Rnb uwa wana rap kama Cris brown, Mcs wanaweza kutengeneza albamu bila beat ya studio! mimi najua nguzo ni tano hizo nane sina uhakika.
Napenda kuuliza na kupata maana sahihi na utofauti wa maana hizi hapa mbili
1.Emcee
2.Raper
Na ukweli ni upi HIP HOP ina element tano(5) au nane(8)
NAWASILISHA
mc ni fanani aliekulia kwenye mising ya nguzo tano za hiphop yaani graphit.breakdance. Knowledge.mc na nk rapper ni m2 yoyote atakaeweza kurap juu ya chochote ki2
na fanani ni member wa HBC
Hip hop ni utamaduni,na kila utamaduni una nguzo zake(aspect of culture)zipo tano katika hip hop.RAP ni Rhythm And Point,part of hip hop aspect.hivyo mwana hip hop anatakiwa arap kwasababu ndio type of song kwenye utamaduni wao,ni kama ilivyo kwa ras tafari aina ya mziki wao ni raggae pamoja na mambo mengine kama tóols,type of clothes,jinsi ya kuabudu nk.hope itakusaidia kama haita kufaa,kama ntakua nimekosea mtanisahihisha jamani,sikiliza krs 1-hip hop is alive.
Hip hop ni utamaduni,na kila utamaduni una nguzo zake(aspect of culture)zipo tano katika hip hop.RAP ni Rhythm And Point,part of hip hop aspect.hivyo mwana hip hop anatakiwa arap kwasababu ndio type of song kwenye utamaduni wao,ni kama ilivyo kwa ras tafari aina ya mziki wao ni raggae pamoja na mambo mengine kama tóols,type of clothes,jinsi ya kuabudu nk.hope itakusaidia kama haita kufaa,kama ntakua nimekosea mtanisahihisha jamani,sikiliza krs 1-hip hop is alive.
Emcee-Master of ceremonies,ni anayejua mizizi ya Hip hop kama,Rakim,Krs one,Guru,talib kweli=Mc's. Raper si lazima ajue misingi ya Hip hop anaandika nyimbo, anataka beat ya studio na mara nyingi anafanya music apate faida,anaongelea maisha ya anasa etc, ata watu wa Rnb uwa wana rap kama Cris brown, Mcs wanaweza kutengeneza albamu bila beat ya studio! mimi najua nguzo ni tano hizo nane sina uhakika.
je mtu ili afanye hiphop ni lazima afokefoke, au ata mtu anayeimba nyimbo kikawaida anaweza akasema anafanya hiphop?
na fanani ni member wa HBC