Mc wa ukweli ni CHINDO MAN mbwa mzee a.k.a Jombii
tafuteni nyimbo za huyu generali wa WATENGWA FAMILY.He is an awesome mc,from arusha the high court of Hip Hop
nini maana halisi ya MC..
wana hip hop?
Mbona JOH MAKINI..hamjamtaja hapa.
Jembe langu hlo.
Mbona hao ma Mc wengi mnao wataja ni loser kwenye game?
Dunia inasonga kukaa unapoteza muda just for fun imepitwa na wakati
Mambo ya uMc ilikuwa zamani hivi sasa watu wanafanya muziki ni maisha which means making money
Prof j,AY na FA,Fid q,Chid benz,Joe makini,N2N hawa ndio maMc wa zama hizi, pesa kwanza
Hata ulaya kuna watu bado wanawaponda akina lilywine na drek kuwa si kitu but kiukweli wana make a lot of money kuliko wagumu ambao wamepitwa na wakati
Inawezekana kawa kweli hao akina hashm dogo na ramson wakawa ma real mc lakini uzao huu unawakata, wanaonekana vituko na wahuni fulani hivi
Uzao wa dot com hauhitaji nyimbo ngumu unataka vitu laini na vinavyochezeka
Kuna watu mmewataja hapo toka enzi na enzi masikini hata baskeli hawajawahi kupata kupitia muziki, nasikia tu majina yao lakini muziki haufahamiki wala hawatoki na most of them ni wahuni kupindukia
Nampenda sana prof j anajua kusoma jamii inataka nini, walianza na rap ngumu lakini leo hii prof analisongesha kuendana na mabadiliko ya jamii lakini angejifanya kukomaa na ureal mc angeishia kuvuta bangi na kuwaponda akina FA tu

tema mate chini ,mpiga kelele huyo hawezi kuwa mc,bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaasi
Mkuu,
Tunapojadili uwezo wa Ma MC tuna base kwenye misingi ya Hip hop bila kujali mitizamo ya jamii juu yake! Mitizamo ya jamii inaweza kuwa influenced na mambo mengi lakini misingi ya Hip hop inabaki pale pale.
Kama mtu ataimba Hip hop Rhumba na akakubalika haiwezi kubadili maana na misingi ya Hip hop! Kufanya biashara kupitia muziki hakuwezi kutufanya tupate new hip hop definition! Siku hizi hasa ulaya watu hawaendi makanisani lakini hilo haliwezi kufanya misingi ya ibada kubadilika ili kuvutia watu! Binadamu anao wajibu wa kufata anayotaka MUUMBA WETU na si MUUMBA WETU kufata tunayotaka sisi! nimetoa mfano huu kukuelewesha maana ya culture ya Hip hop na misingi yake itayobaki jinsi ilivyo regardless mabadiliko ya ulimwengu!
Huwezi kufanya hip hop ya asili kwasababu eti hailipi maana yake wewe si mwana Hip hop maana Hip hop ipo kwenye damu tu si utashi kama aina nyingine ya muziki (ukitoa reggae!) yaani punchline zinashuka tu hata kama unauza genge la nyanya!
Alafu hata hao wasanii uliowataja hawauzi pia! kila mmoja anajua anaendeshaje maisha yake na si mauzo ya muziki wao pekee! Hao hao ndio wanaolalamika pia Muziki pekee haulipi kama akina Diamond wanavyopata!
Hip hop ni maisha,pesa matokeo ndugu!
kama wewe sio Zavara basi utakuwa Dogo Hashim duuh nimepata kitu kikubwa sana hapa true u made my day!
kwa mimi navyojua MC lazima uweze kuzimaster five "5" element of HIPHOP
Wakuu kwa nyie mnaodai MC anatakiwa aweze kufanya nguzo zote 5 za hip hop huo ni uongo. How come mtu akaweza kufanya nguzo zote? Kwasababu kila nguzo inategemea talanta binafsi.
Afu siku tapate mjadala kuhusu nguzo za Hip Hop kwasababu kuna watu wanadai ziko 4, wengine 5, pia ukisikiliza nyimbo ya Hip hop knowledge ya KRS-0NE alitaja nguzo 9.
Kama tukiwa makini, Hashim Dogo me nadhani anastahili kua m1 ya real mc hapa bongo nje ya Zavara, K-single, D rob, na Faza nelly.
Kwasababu ukimsikia Fid, Nikki Mbishi, Sterio, Songa, P The Mc na Maalim Nash wote ni Copy ya Hashim Dogo.
Pia wengine wanacopy hata style za state mfano Nikki Mbishi haswa alipokua anaanza game nyimbo kama Punch Line kuna sehemu anasound kama Common.
FID Q anacopy sana baadhi ya punch line zake state mfano kwenye nyimbo yake ya Professional kuna punch anasema " Natokea mwanza home of greatest rapper mtoto wa dandu comes first then i am a professional" alichukua kwa Lil Kim kwenye nyimbo ya Lighters up Kim alisema "Am from brooklyn home of greatest rappers BIG comes first and Kim comes after" pia kama una album ya Enter the Wutang ya mwaka '93 ya Wu tang clan kuna punch line nyingi Fid anazitumia hata jina la One man army au jeshi la mtu mmoja alikua analitumia Ol' diry bastard kwenye nyimbo ya "Shame on you" kifupi wasanii wengi wa sasa ni wezi wa mistari konde.
Mbona hao ma Mc wengi mnao wataja ni loser kwenye game?
Dunia inasonga kukaa unapoteza muda just for fun imepitwa na wakati
Mambo ya uMc ilikuwa zamani hivi sasa watu wanafanya muziki ni maisha which means making money
Prof j,AY na FA,Fid q,Chid benz,Joe makini,N2N hawa ndio maMc wa zama hizi, pesa kwanza
Hata ulaya kuna watu bado wanawaponda akina lilywine na drek kuwa si kitu but kiukweli wana make a lot of money kuliko wagumu ambao wamepitwa na wakati
Inawezekana kawa kweli hao akina hashm dogo na ramson wakawa ma real mc lakini uzao huu unawakata, wanaonekana vituko na wahuni fulani hivi
Uzao wa dot com hauhitaji nyimbo ngumu unataka vitu laini na vinavyochezeka
Kuna watu mmewataja hapo toka enzi na enzi masikini hata baskeli hawajawahi kupata kupitia muziki, nasikia tu majina yao lakini muziki haufahamiki wala hawatoki na most of them ni wahuni kupindukia
Nampenda sana prof j anajua kusoma jamii inataka nini, walianza na rap ngumu lakini leo hii prof analisongesha kuendana na mabadiliko ya jamii lakini angejifanya kukomaa na ureal mc angeishia kuvuta bangi na kuwaponda akina FA tu
Huwezi mtaja Faza Nelly kama real Mc, pasipo kuwataja K-Single, Faza Nelly anaanza game K-Single, D-Rob, Adili(Nigga One), tayari walikua wana run game hii kwa bongo.
Bamiza inamtoa Faza Nelly 99 lakini Kwanza Unit walikua tayari wanafanya game, na nina uhakika hata Faza Nelly wali muinsnpire!
JCB bado hajafiki level hiyo ya real MCs
Jay Moe wakawaidaa sana
Pia hahis haujaelewa maana ya MCs, sio kuaaandika mashairi tu zingatia nguzo 5 za hip hip
Maana kama MCs ni kuandika mashairi hata FA atakuwemo!
Na MCs sio kukaza sauti kama JCB maana hata Chindo Man, Kala Pina na Msema Kweli watakuwemo!
Kifupi MCs wa ukweli Bongo
1.Sugu - bado yupo
2.Faza Nelly - R.I.P
3.Adili(Nigga One) - R.I.P
4.Kibacha(K Single) - bado yupo
5.Hashim Dogo -bado yupo
6.D-Rob - R.I.P
7.Chief Ramso - bado yupo