Mtoe jaffarai hapoWell!Ukizumgumzia HIPHOP, kimsingi mkoa wa Mbeya tunaweza kuita ndio JIKO. Nilivyopitia historia za wanamuziki wa kileo wa rap/hip hop (unaweza kucheki facebook pages zao) wengi wameanzia kuimba wakiwa shule Mbeya. Hapa naongelea1. Mr II (sugu)2. Joseph Haule (Jay)3. Adili Nkwela4. Juma Mohamed Mchopanga (Jay Mo)5. Jafari Mshamu (Jahfarai)6. Ilinga Khalifa (C Pwaa)7. Anselm Ngaiza (Soggy)8. OCG (sijajua kapotelea wapi)9. Taikuni Ally (Mchizi Mox)10. Vivian Tilya (RIP)11. Zainab Lipangile (Zay B)12. Castro Komba (Caz T)na kadhalika. Walio wengi walikutana shuleni na kuanzisha makundi yao ya kuimba, hasa wakiwaiga Naughty by Nature, BIG, Tupac nk.Ni historia flani tamu hivi
Pita tu kimyakimya,watakucheka watu.
Hapa ni HiPHoP zone
jamani na mie si nataka kujua ..naweza kuwa mpenzi wa hippop kupitia post hii
jamani na mie si nataka kujua ..naweza kuwa mpenzi wa hippop kupitia post hii
Mwanafa na fid q ndo ma best mcs
Daah mwanangu Umekurupuka
nini maana halisi ya MC..
wana hip hop?
Mbona JOH MAKINI..hamjamtaja hapa.
Jembe langu hlo.
kwa mimi navyojua MC lazima uweze kuzimaster five "5" element of HIPHOP
Mkubwa nakubalina na wewe kabisa! MCs wa sasa wote wazugaji wana copy na kupaste au kutranslate mistari ya MC wa ughaibuni.
Na hichi ndo kinachotufanya tunaofuatilia muziki huu tuone Mc wa sasa hawana jipya!
Heshima itaendelea kubaki kwa kinaa
Hashim Dogo
Chief Ramson - Zavara
K -Single
Faza Nelly R.I.P
Nigger One (Adili) - R.I.P
Sugu
D Rob(Zomba) - R.I.P
Balozi
man !! Adili Owe u an Apology!! He is still alive n kickin!!
kama unataka kupenda hiphop ya nyumbani sikiliza sana hawa vijana wa TAMADUNI Muzik
mcheki Prodyuza Duke uyo mwenye kimzuzu
ONE The INCREDIBLE the new Hashim Dogo
KILINGE CHA NADHARIA TAREHE 9/03/2013 at Msasani Club.
Niki Mbishi uyu
MAGENGE KILINGENI MSASANI
KRS ONE said:Rappers spit rhymes that are mostly illegal,
MCs spit rhymes to
uplift their people
Adili gani unamzungumzia? Adili mbona tumemzika miaka mingi sana Ilala? Kabla hata ya D Rob.
Adili kutoka Vinega bado yuko hai.
hyo pcha ya juu mwenye kimzuzu ni nash mc sio duke!!! Hao ni miraba minne ndan ya hlo kund kuna nash mc madina p the mc zaiid mnete na songael mwangala aka songa!!! Duke pia ana kimzuzu ila yy n huyo kwenye picha ya pchin