Önly fans of Hiphop



BIG up Mkuu Umeongea Vitu vya Msingi sana
 
hapana songa yupo na one na washikaji zake jumla watano wanaunda kundi linalo itwa ilmatrix

Hapana Songa Hayupo Ilmatix!!! ila Kwa Wafuatiliaji Wa Fidstyle Walidanganywaa!! one Skuile Iltakiwa Awe Na Memba Wenzake Wa Ilmatix Ila Ikashndkana Kuwepo!! na Fid Alikua Ndo anakuja kuwafanyia Interview So Aliyekuwepo Pale alikua N One Na Songa!! ndipo Songa Akajitangaza Kuwa Yy N Memba Wa Ilmatix Tangu Mwakajana Ila Watu Wa Karibu Na Kna Songa Wanaujua Ukwelii!! hudhuria Viringen Siku Za Jmos Ongea Nao Utaambiwa Ukwel!! songa Yupo Kundi La Miraba Minne Na Moja Ya Track Zao Nii Hii Hapa Chin

Download
 

Sawa Mkuu Nimekuelewa Asante wa Link Yako Ya hiyo Ngoma Nilikuwa Naitafuta sana thanks
 
hahahahaha hamna kitu pumba tupu soft sana siku hz huyu kaka ndo maana wana mponda sana kina Nikk Mbishi



Yupo kampani moja na kina mashauzi Isha sa hv,toka chochote popote na hao hakuna kitu zaidi ya mipasho

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mtoe jaffarai hapo
sasa ww unatupa historia ya wasanii walioanza kuimba toka wakiwa shuleni ili ituhusu nini eleza mc anatakiwa awe na vitu gani,unatutajia jaffarye kati yake na stereo au one nani mkali.
 
hyo Pcha Ya Juu Mwenye Kimzuzu Ni Nash Mc Sio Duke!!! Hao ni Miraba Minne Ndan Ya Hlo Kund Kuna Nash Mc madina P the Mc Zaiid Mnete Na Songael Mwangala Aka Songa!!! Duke Pia Ana Kimzuzu Ila Yy N Huyo Kwenye Picha Ya Pchin


na ndio nilichomaanisha labda sikueleweka...Duke aka faza krismas mwenye kadeti kaki amesimama
 
aisee nafurahi sana kuona wana Hip Hop kwa sababu najua Mwana hip hop lazima uwe TIMAMU...
turudi kwenye topic emcee Bongo walikwepo wapo watakwepo...
Old skul wengi wameshawaongelea haina ubishi...kwa upande wangu Hashim dogo hana mpinzani,..Salu T nashangaa watu huwa wanamsahau sana huyu ni Malenga wa hatari sana...Fid Q, Tamaduni muzik kuna ma emcee wa kutosha kama nash,baba malcom, azma na uno, Jmo mo tech mo flava, magazijuto.. kuna ambao walipotea njia kama Solothang..

Kipe kitu kikupe kikutupe kupe kwake kinyonye damu kwa ham-Hashim Dogo

Tangu sabini na nane wabongo mmefunga mkanda?-Hashim dogo
 

gizle madebe!
 
kwa hawa wasanii wanaovuma Sasa, Nani anatimiza nguzo zote tano?

Huu mjadala bado unastahili kuendelezwa
 


Wengine waliacha pengine hawakuona future
 
kwa hawa wasanii wanaovuma Sasa, Nani anatimiza nguzo zote tano?

Huu mjadala bado unastahili kuendelezwa




mjadala bado mgumu sana maana kila mtu anataja mtu anaemkubali yeye kwa upande wake.

Hata mimi ukiniuliza nani anafata misingi sitaweza kukupa jibu sahihi.

Lakini nina machagua yangu, ya wale ninaowasikiliza sana

nawakubali sana weusi kwanza, then nawasikiliza sana Watengwa, Tamaduni Muzik, Fid Q, Arusha Hip Hop n.k
 


Chindo namkubali mno ile voice take,pia JCB!!

Kuna lile dude la bou nako Mara oh!!
 


Yaani umewaweka GK,Nature,KR na Inspecta katika kundi la watu unaowaheshim then unamwacha Profesa Jay? What a joke
 
Yaap mazee nimewachek na kufuatilia comment zenu kuusu Mc ni nan na watu wamejaribu kutaja nawengne kutoa ata smo kuusu hip hop na nguzo zake na uchambuzi kuusu uemc nimewaona naemc weng waliotajwa na nimewakubali baadhi yao lakini naskitika saana kwenye list karibu zote kuachwa(kusahaurika) MTU kama SALU.TEE na uyu ni mmoja was maemc wakubwa sana kutokea APA nchini ukimfuatilia katika vifuatavyo
1.flow ana tiririka ajabu mpangilio wa vina na mizani katika mpangilio au sauti yakinifu
2.style Kali na yakipekee iliobeba dhima nzma ya anachokiwakilisha.
3.utunzi wakijamii wenye ujumbe maususi
Da namkubali sana uyu jamaa ni sauti ya mitaaa
 
Yaani umewaweka GK,Nature,KR na Inspecta katika kundi la watu unaowaheshim then unamwacha Profesa Jay? What a joke

umeambiwa kuwa jamaa ni malaika so hawezi kosea... it means ulikuwa untafuta wapi kasahau kumweka prof.... by the way hawezi kumridhisha kila mtu...
 
umeambiwa kuwa jamaa ni malaika so hawezi kosea... it means ulikuwa untafuta wapi kasahau kumweka prof.... by the way hawezi kumridhisha kila mtu...
Huwezi kumsahau Prof Jay kwenye historia ya muziki wa Bongo kwa namna yoyote ile, ni sawa useme umesahau kumtaja Nyerere kwenye historia ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…