steven nyaganya
Senior Member
- Dec 23, 2017
- 116
- 74
nahitaji rafiki wa ku-socialize awe wa kike, umri chini ya miaka 22 na asipungue 18 awe anaishi dar, sifa ya ziada awe mzuri sitaki rafiki ntakaeogopa kumtambulisha kwa marafiki wengine kuwa huyu ni rafik yng. kumbuka kichwa cha habar hapoa juu.